All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, May 12, 2015

ANKAL MICHUZI ATEMBELEA STUDIO ZA TONE ONLINE RADIO STATION

Ankal Issa Michuzi akiwa na Mkurugenzi Fredy Njeje katika jengo la Tone House ambamo kuna mambo kibao ikiwa ni pamoja na studio za  Tone Radio-TZ lililopo Mwenge jijini Dar es salaam. Hapa ndipo nyumbani pa libeneke la Blog za Mikoa kama vile Mbeya Yetu, Lindi Yetu, Mwanza Yetu na kadhalika. Hawa vijana pia ni wanachama waanzilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) ambayo inazidi kukua siku hadi siku...
Post a Comment