All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, April 24, 2015

UBINGWA WANUKIA KWA YANGA, WAICHAPA RUVU SHOOTING BAO 5-0 LEO.

 Haruna Niyonzima (kushoto), Simon Msuva (kulia) na Kpah Sherman wakishangilia baada ya Simon Msuva kuipatia timu hiyo bao la pili.

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0. 

 Timu zikiingia uwanjani.

 Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting.

 Mpiga picha wa Azam Tv akichukua matukio katika mchezo wa Yanga na Ruvu Shooting.

Kpah Sherman akishangilia baada ya kufunga.

Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki wa Ruvu Shooting.

 Juma Abdul (kushoto) akikabana na beki wa Ruvu Shooting.

Juma Abdul akiwania mpira.

 Juma Abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting.

 Juma Abdul huyooo.

No comments: