All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, April 20, 2015

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO.


Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na wafanyabiashar hao kwa ajili ya kuzungumzia mradi w wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akisisitiza jambo kwa viongozi wa soko la Mburahati wakati alipofanya ziara sokoni hapo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo. Kushoto kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi na wafanyabiashara wengine.

Post a Comment