All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, April 22, 2015

HIVI NDIVYO ALIVYO AGWA MAREHEMU BIBI MAGDALENA PETRO MAGIGE JIJINI DAR.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige kilichotokea tarehe 19 Aprili 2015, jijini Dar es salaam.
 Mzee Galius Abeid akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifunga jeneza la marehemu Magdalena Petro Magige.
 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Magdalena Petro Magige likiteremshwa kutoka kwenye gari tayari kwa kutoa heshima ya mwisho kabla ya safari ya kwenda kuupumzisha kijiji cha Kamange,Tarime mkani Mara.
 Ndugu na jamaa waliojitokeza kwa wingi  kutoa heshima ya mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali George Mwita Waitara wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Magdalena Petro Magige.
 Ndugu na Jamaawakitoa heshima za mwisho
 Ilikuwa ni majonzi kwa kila mtu wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Bibi Magdalena Petro Magige.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa heshima ya mwisho kwa Bibi Magdalena Petro sanjali na Mama Norah P. Mukami.
 Watoto wa marehemu Magdalena Petro Magige wakitoa heshima za mwisho kwa mama yao mpendwa aliyefariki tarehe 19 Aprili 2015.

 Ndugu , Jamaa na marafiki waliojitokeza kuja kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao Bibi Magdalena Petro Magige aliyefariki  tarehe 19 Aprili jijini Dar es Salaam.
 Padri Valence Matungwa akitoa somo wakati wa misa maalum ya kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige,Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Padri Ladislaus Kapinga akiongiza ibada wakati wa kumuaga marehemu Magdalena Petro Magige
A
 Mtoto wa Marehemu Norah P. Mukami akipokea ekaristi takatifu wakati wa misa maalumu ya kumuaga Magdalena Petro Mukami.

No comments: