All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, April 16, 2015

BERDON MNYAMA ALIVYO TUSUA KATIKA USIKU WA JIONEE JIJINI MBEYA KATIKA UZINDUZI WA ALBAM YAKE ITWAYO JIONEE.

Usiku wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu pichani hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media Group.Picha Zote na Mr.Pengo.
 baadhi ya wadau na wapenzi kinazi wa msanii berdon mnyama wakifuatilia shoo kwa makini.
 zoezi la uzinduzi wa albamu hiyo ikiendeshwa sambamba na mh.Sambee Shitambala ambaye  ni advocate na mNEC.
 mh.Sambee Shitambala ambaye ni  advocate na mNEC ndiye mgeni rasmi akitoa neno baada ya kuzindua rasmi albamu hiyo.
               nyuma ya jukwaa baadhi ya wasanii ndani ya pozz.
 JACK SWAGA AKIKOLEZA MOTO KATIKA USIKU WAJIONEE.
 MAOMBI YA KUWAKUMBUKA BAADHI YA NDUGU NA JAMAA WALIO TANGULIA MBELE ZA HAKI.
                                              NYOMIIIIII.
       MWANADADA SILVIA AKITUMBUIZA JUKWAANI WIMBO WAKE WA NIPO NAE.
                       DJ SPEED KWENYE MASHINE.
 WIMBO WA KUPINGA MAUWAJI YA ALBINO ULIO TUNGWA NA WASANII WA JIJI LA MBEYA WAKIONGOZWA NA DADA SUBI MWAMBIGIJA UKIKONGA NYOYO.
 MSANII ANEITIKISA MKOA WA MBEYA KWA RNB ZAX 4 REAL AKIPAGAWISHA MASHABIKI.
  MAMA MZAZI WA MSANII BERDON MNYAMA SARAH MWAIPOPO AKIZUNGUMZA JAMBA KATIKA HAFRA HIYO.
  MAMBO YA UZWAJI WA ALBAMU YAKIENDELEA.
 MR.KUBIDAYO SHOTO AKIWA NA DJ KAUZU KATIKA POZZ. 
 DIRECTOR KIKUNIZO KUTOKA MASHADA INC NDANI YA MNUSO.
               D PREIN AKITUSUA NDANI YA MAC.
 MSHEREHESHAJI PRINCE RAMA AKIFANYA YAKE.
HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA NA JINSI ILIVYO FANA NDANI YA NASOMA LOGE MAMA JOHN JIJINI MBEYA.
                                PRODUSER DAYYO.
Post a Comment