All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, April 20, 2015

ASKOFU DR.ALEX MALASUSA AMUNGIZA KAZINI MSAIDIZI WAKE MCH.CHEDIEL LWIZA.

1a
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT.
2aMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam
4aMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimpongeza Msaidizi wake aliyemaliza muda Mch. George Fupe wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam
5aMkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akmkabidhi gari Msaidizi aliyemaliza muda wake Mch. George Fupe
6aBaadhi ya Wachungaji waliohudhuria Ibada ya kumuingza kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza
7aBadhi ya waumni waliohudhuria sherehe za kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza
8aAskofu Mstaafu wa KKKT Dk. Elinaza Sendoro akifuatilia Ibada
9aNaibu Waziri TAMISEMI Aggery Mwanri akiwasalimia waumni
10aWachungaji wakipungia waumini wakati walipokuwa wakitambulishwa.
11 aMkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) Nehemia Mchechu ambaye pia ni muumini wa KKKT akitoa salamu
11aaMkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHC) Nehemia Mchechu ambaye pia ni muumini wa KKKT akitoa salamu
12aMaaskofu Alex Malasusa mwenye fimbo na Dk Fredrick Shoo wakiwa katika picha ya pamoja na Msaidizi mpya wa Askofu wa DMP Mch Chedile Lwiza (Katikati)
Post a Comment