Thursday, March 26, 2015

WARSHA YA WADAU KUHUSU HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYIKA JIJINI DAR.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agnes Kijazi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salaam, Machi 24, 2015.
Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salaam, Machi 24, 2015.
Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri, Dkt. Hamza Kabelwa wakiwa katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salam, Machi 24, 2015.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam, Machi 24, 2015.Picha na Blog ya Mamlaka.

No comments: