All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, March 13, 2015

R.I.P OMEGA MWAKASEGE.

 Tuta kukumbuka milele daima mpiganaji Omega Mwakasege a.k.a omange 255, alie fariki tar 11-03-2015 katika ajari ya basi la mijinja mkoani iringa, hatimae kuzikwa jana tar 13-03-2015 katika makaburi ya mlima james jijini mbeya pumzika kwa amani omega mwakasege amin.
Enzi za uhai wake mpiganaji Omega Mwakasege wa mwisho kushoto na Ecky the best  wa pili katikati katika picha ya pamoja walipo kuwa wakifanya maandalizi ya kushuti video.
Mwana libeneke Fadhiri Atick Mr.Pengo kushoto akiwa na marehemu Omega Mwakasege katika picha ya pamoja enzi za uhai wake, mungu ailaze roho za malehemu wote walio fariki katika ajari hiyo mahali pema peponi amin.
Post a Comment