All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, March 19, 2015

NYUMBA YA TEKETEA KWA MOTO SOWETO JIJINI MBEYA.

Mapema leo nyumba moja yateketea kwa moto kwa sababu zisizo jitoleza ingawa wenye nyumba hiyowalizungumza na mwandishi wetu na kusema kuwa "moto huo ulikuwa ukiwaka kwa siku tatu tofauti tofauti ambapo apo awali ulikuwa ukiwaka katika mazingira ya kutatanisha, kwa kuanza kuunguza nguo taratibu taratibu hatimae kuteketeza nyumba nzima chanzo kikuu ni mambo ya kishilikina.na Fadhiri Atick Mr.Pengo.
moto ukiwa unazimwa na baadhi ya wakazi na waumini walio kalibu na eneo hilo.

            baadhi ya vitu vilivyo teketea na moto huo
 baadhi ya majilani wakitoa pole kwa familiya iliyo athilika na janga hilo.

       hivi ndivyo hali ilivyo kuwa leo jijini mbeya.
Post a Comment