All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, March 30, 2015

HILI NDIO SEKESEKE LA WA FANYABIASHARA WA MWANJELWA NA SIDO WALIVYO KINUKISHA ASUBUHI YA LEO JIJINI MBEYA.

 Baadhi ya wafanya biasha wa maeneo ya mwanjelwa na sido jijini mbeya mapema leo katika vurugu ya wafanyabiashara hao baada ya kugombana wao kwa wao kutokana na baadhi ya wafanya biashara hao kuvunja makubaliano ya kutofungua maduka yao kwa mgomo unao endelea nchi nzima hatimae baadhi kufungua na kuanzisha vurugu jijini humo.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
 baadhi ya wafanya biashara wakiwa katika hekaheka ya vurugu iliyotokea asubuhi ya leo jiji mbeya.
 kila mtu akiwa katika pilika pilika katika eneo la sido ziliko anzia vurugu hizo.
       kikosi cha kutuliza gasia kikiwa katika eneo la tukio kutuliza vulugu zilizo kuwa zikiendelea.
 baadhi ya wafanya biashara wakiwa katika eneo la tukio katika vurugu hizo jijini mbeya.
                                          vijana nao hawako mbali na tukio.
                                  magari mengi yalisimama kuepuka vurugu hiyo.
                              Eneo la mwanjelwa mtaa wa kongo kweupeeee.
 vijana wengine walikimbilia huku kuepuka vurugu hiyo na hivi ndivyo hali ilivyo leo jijini mbeya.
Post a Comment