All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, March 28, 2015

DKT. SHEIN AFUNGUA HOSPITALI YA GLOBAL, VUGA MJINI UNGUJA LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kufungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono wa pongezi na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky baada kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (wa kwanza kulia) Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital Dkt,K.Ravindranath(wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky wakiangalia mashine ya kufanyia Upasuaji wakati alipotembelea Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital Dkt,K.Ravindranath (kulia) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za kutoa huduma katika Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo baada ya kuifungua rasmi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Mwakilishi wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt.Nagesh Rao (kulia) wakati alipotembelea katika vyumba vya upasuaji vyenye mashine za kisasa baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital ya India Dkt,K.Ravindranath (katikati) wakati alipotembelea chumba cha wagonjwa mahututi (Theatre) baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kulia) Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Jamala A.Taibu.
Baadhi ya Madaktar na waalikwa katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali hiyo leo.
Baadhi ya waalikwa mbali mbali katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Hospitali hiyo leo.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky akitoa salamu zake mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) baada kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo.
Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akisema machache na kumkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi baada ya kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali na taasisi mbali mbali na waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo inayomilikiwa na Kampuni ya Vigor Turky ya hapa Zanzibar ambayo itatoa huduma za Maradhi mbali mbali.[Picha na Ikulu.]
Post a Comment