All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, February 8, 2015

YANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA.


Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akichuana na beki wa Mtibwa Sugar,  David Luhende wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.

 Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimpiga chenga kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed hata hivyo Msuva baada ya kubaki na goli alipiga nje mpira huo.
 Msuva akikosa bao.
 Msuva akijilaumu baada ya kukosa bao la wazi.
Kikosi cha Mtibwa Sugar.
Kikosi cha Yanga.
 Benchi la ufundi la Mtibwa Sugar.
 Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiwapanga wachezaji wake.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Post a Comment