All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, February 2, 2015

WABUNGE WAPEWA SEMINA YA USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012.

Waziri wa Fedha Saada Mkuya akitoa ufafanuzi juu ya maswali ya wabunge.
Kamishna wa Sensa Tanzania, Hajjat Amina Mrisho.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akiwasilisha mada.
Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta ambaye amemuwakilisha Mgeni Rasmi wa Semina hiyo Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye akichangia.
Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Mohamed Habibu Mnyaa.
Waziri wa Sheria na Katiba Selina Kombani akichangia kwenye semina hiyo.
Baadhi ya wabunge waliohudhutia semina hiyo. Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma
Post a Comment