All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, January 13, 2015

MKURUGENZI WA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA BLOG OTHMAN MICHUZI AJINYAKULIA ZAWADI KUTOKA COCACOLA.


mkulugenzi wa libeneke la mtaa kwa mtaa blog na meneja wa michuzi media group mr Othman Michuzi ajinyakulia zawadi ya simu na kinywaji kuajili mwaka mpya kutoka katika kampuni ya cocacola pindi walipo mtembelea ofisini kwake mapema leo.

mkulugenzi wa libeneke la mtaa kwa mtaa blog Bw,Othman Michuzi akijinyakulia zawadi ya simu kutoka kwaa jacqueline ngull muwakilishi kutoka kampuni ya cocacola.(share a coke tz)

mzee wa mtaa kwa mtaa mr, Othman Michuzi akiwa amezungukwa na walembo kutoka cocacola(share a coke tz)  Aisha Kirambi(shoto) na bi jacqueline ngull waki onesha moja ya za wadi ya kinywaji kutoka kampuni ya cocacola yenye jina la Othman,
Post a Comment