All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, December 18, 2014

MTU MMOJA AKUTWA AMEUWAWA KANDO KANDO YA MTO ILOLO JIJINI BYEYA.

 Asubuhii hii mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha,haijafahamika mpaka sasa ni kitu gani kilichomsibu mtu huyo mpaka kufukwa na mauti hayo.mpaka sasa hakuna alieweza kumtambua mtu huyo haifahamiki kuwa ni mkazi wa wapi.
    mwili wa marehemu huyo ukiwa kando ya mto huo.
 Wakazi wa maeneo ya jitani na mto huo wakiuangalia mwili huo kuona kama wanaweza kumtambua.
 baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.

majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya.
Post a Comment