All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, December 1, 2014

MDAU AKIPUNGA UPEPO WA BAHARI.

Utashi wa mawimbi na maji ya bahari huwafanya watu wengi kustahajabu maajabu ya bahari jinsi maji yanavyo songa kutoka sehemu moja kwenda nyingine,watu wengi hutumia  bahari kwa matamizi tofauti tofauti,wengine kutembelea bahari kuajili ya kupumzika wengine kupiga mbizi na wengine kubadilishana mawazo tofauti tofauti,kuvua samaki na kadharika.
Mdau akiwa katikati ya jiwe kubwa lililo jitokeza juu ya maji akijishahuri mawazo tofauti tofauti.


Post a Comment