hii stepu sijui inaitwaje hiii maana uo mkunjoo duu.
  jamaa akiendelea kuselebuka kwa aina yake na stepu yake mpya katika ukumbi wa nanii pale.
punde
 ghafla bini vuu mdau akajigeuzaa kama samaki vile, jamani wadau tunapo 
tumia maji ya mende tujitahidi kuji balansi siuna ona jamaa apo alivyo 
punguza maksi kwa ndugu na jamaa zakee.
 
No comments:
Post a Comment