All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, November 27, 2014

TAZAMA TASWIRA ZA BAHARI YA HINDI IKIWA IMECHAFUKA.

Bahari ikichafuka hakuna msafi yoyote atakae fagia bahari kwa ufagio ndo kama hivi,bahari ya hindi ilivyo pandisha mashetani katika baadhi ya fukwe za bahari hiyo.picha zote na Mr.Pengo.

hii ndo inaitwa weka mbali na watoto kwasababu lolote linaweza kutokea.

 kama unavyo jua msafala wa mamba kenge huwa hawakosi hawa vijana licha ya bahari kuchafuka kihasi hicho wao wanaendelea kupiga mbizi kana kwamba hawana utofauti na papa au sangala.
Post a Comment