All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, November 27, 2014

SIO MADELEVA PEKEYAKE WANAO VUNJA SHERIA ZA BARABARANI.

Kama kawaida ya watoto na mchezo kila siku kwao ni sherehee,wakiwa katika mchuma kando kando yabarabara huku deleva akiwa amepaki pembeni kwaajili ya kuchukua abilia kwenye heneo ambalo sio mahala pake.
kutoka kushoto abilia akiwa mbio kufuata mchuma unao enda anoko taka kutokana na daladala hiyo ikiwa imepaki eneo ambolo sio stendi ya matololi.
Post a Comment