Sunday, November 9, 2014

KIBO SEED COMPANY LTD,YATOA WASHA KWA WADAU WA KILIMO JIJINI MBEYA.

Kampuni ya kibo seed yatoa washa kwa wadau mbalimbali wa kilimo jijini mbeya, mnamo tar 8/11/2014, kampuni ya kibo seed ilikutana na wadau mbalimbali wa kilimo katika ukumbi wa mbeya paradise hotel  kwa lengo la kuwaweka sawa wadau wa kilimo kuhusiana na uzalishaji wa mbegu za mazao kama vile,nyanya,mahindi,vitunguu,kabichi na karoti.

Afisa masoko,kibo company ltd, mbegu ya mahindi kitale 614,ndugu Daudi akitoa mafunzo ya kilimo kwa wadau.


 Mdau wa kilimo kutoka katika kampuni ya Kalinga Agrochemicals, Daudi Kayange akitia wino katika kitabu cha maudhurio.

 Elimu kwa ufupi kutoka katika kampuni ya kibo ikiendeleaaa.
 Mdau Daudi Kayange  akipiga viji swali juu ya mbegu ya nyanya itwayo monika.


 Wadauu wa kilimo jijini mbeya wa kifuatilia kwa makini mafunzo ya mbegu za mazao mbalimbali katika washa ya wadau wa kilimo ilio fanyika jijini mbeya.
 Mkulima wa nyanya aina ya monika akizungumzia umahiri wa mbegu hizo.

Baadhi ya mbegu zilizo tolewa mafunzo na kampuni ya kibo.

No comments: