Dogo Aslay akiwa katika hisia na mwenendo wa midundo katika matayarisho ya kushuti wimbo wao uitwao "nitakupwelepweta" ya wimbo huo.
.
vijana wa band ya yamoto band wakiwa mzigoni katika utayarishaji wa video yao ya wimbo wao uitwao "nitakupwelepweta" jijini dar es salaam.
mambo ya location hayo.
bonge la kichupa kaa tayari tuu.
No comments:
Post a Comment