All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, November 29, 2016

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTALII DUNIANI KWA NYANDA ZA JUU KUSINI KUHITIMISHWA LEO KATIKA VIWANJA VYA KICHANGANI MJINI IRINGA...

Waziri wa Maliasali na Utalii Profesa Jumanne Magembe kulia katika Picha ya pamoja na Baadhi ya wana utamaduni wa sanaa ya maonyesho kutoka Mkoa wa Iringa siku ya Uzinduzi wa maonyesho hayo yafanyikayo katika Viwanja vya kichangani Mjini Iringa kwa nyanda za juu kusini na kuhitimishwa leo Tarehe 29-11-2016 Viwanjani hapo Mjini Iringa.
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe wapili kutoka kulia akikata Utepe siku ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utalii Duniani Siku ya Juma Pili ya Terehe 27, kwa nyanda za juu kusini yamefanika mjini Iringa katika Viwanja vya Kichangani na kufungwa hii leo.
Waziri Magembe kulia akifurahia Jambo pindi alipo kuwa akitembelea katika baadhi ya mabanda ya Wadau wa Utalii walio jitokeza katika Viwanja hivyo Mjini Iringa.
Waziri Magembe akipokea moja ya Zawadi kutoka kwenye kampuni ya Ivori Ya Mjini Iringa inayo fanya vyema katika kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo Pipi za Ivori.
Picha Zote na Mr.Pengo wa MMG Nyanda za juu Kusini.
Post a Comment