Sunday, November 20, 2016

AKUTWA AMEFARIKI NJIANI JIJINI MBEYA....

Mtu mmoja aliye fahamika kwa jina moja la "Mwitta" Mfanyabiashara wa kuuza Nyama ya Ng'ombe
afanyae bishara zake Eneo la Mwanjelwa, Akutwa amefariki dunia asubuhi ya leo katika eneo la Mafiati jijini Mbeya akiwa ametokwa na Damu nyingi kichwani ikisemekana kuwa "alivamiwa na kupigwa na watu wasio julikana" Kama ambavyo ionekanavyo katika Taswira hapo juu ikiwa jeshi la Polisi likijiandaa na zoezi la kubeba mwili wa kijana huyo.
Mwili wa Kijana mwitta ukiingizwa kwenye Gari ya Polisi.


Huzuni ikiwa imetawala kwa ndugu jamaa na marafiki walio lizunguka eneo hilo la tukio huku wakipeana taarifa kuwajuza wengineo juu ya tyukio hilo lililo Tokea asubuhi ya leo eneo la Mafiati Jijini Mbeya.
Jeshi la Poli likiondoka na mwili wa kijana Mwitta sambamba na baadhi ya ndugu wa karibu kuujiuli ya uchunguzi zaidi.
PICHA NA MR.PENGO WA MMG. 

No comments: