Monday, September 12, 2016

MACHINGA MBEYA WANOGESHA SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA..

Wafanyabiashara wa Biashara Ndogondogo Maarufu kwa Jina la Machinga waanza kunufaika na Soko kuu la Kimataifa la Mwanjelwa lilopo Jijini Mbeya mara baada ya Serikali kuwaruhusu kuingia katika Soko hilo na kuwapiga marufuku kufanya tena Biashara zao nje ya Soko hilo na kuzingatia Utaratibu na Sheria za Soko hilo la Mwanjelwa Jijini Mbeya.
Moja kati ya Wafanyabiashara hao akijipatia Taswira kwenye moja ya kijieneo alicho Kibuni kuajili ya kufanyia Biashara zake katika Soko hilo la Mwanjwelwa Jijini Mbeya
Kikundi cha Wafanyabiashara hao wa Umachinga wakidhadhiana Jambo ndani ya wigo wa Soko hilo mara baada ya kuruhusiwa kufanya Biashara zao ndani ya Soko hilo la Mwanjelwa.

Moja ya Barabara Iliyo kuwa ikitumika na Wafanya Biashara hao katika Eneo la Mwanjelwa sasa Shwarii kabisaa hakuna anaeuza Nje ya Wigo wa Soko hilo.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO WA MMG MBEYA.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments: