All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, September 29, 2016

KIJIPU UPELE CHATIBIKA ENEO LA ILEMI DARAJANI JIJINI MBEYA....

Video hii ni Hali halisi iliyo kuwepo Hivi karibuni katika Eneo la Darajani Ilemi Jijini Mbeya Ambapo Globu ya Jamii Kupitia Michuzi Tv ilifika katika Eneo la tukio na kulisemea kutokana na hali ya Mazingira kutokuwa Rafiki na wanao litumia Eneo hilo kwa kufanya Biashara Ndogo ndogo kama ambavyo ionekanavyo hapo juu katika Video Hiyo.
Shukrani Za Thati kwa Ungozi wa Serikali Chini ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla Kwa kutumbua kijipu Upele hiki na kuwatafutia Eneo la Bishara wafanya Biashara wote walio kuwa wakifanya Bishara zao katika Eneo hilo la Ilemi Darajani na kutambuwa hili kuwa hapo palikuwa si mahala sahihi kwa kufanya Biashara.
Hari sasa ni Shwari kabisa yaani ni Kweupeee 
Vyombo vya Usafiri navyo vinapita kwa kujimwaya mwaya mambo sasa ni Mswano kabisa. NA MR.PENGO MMG MBEYA.

No comments: