Thursday, April 9, 2015

JUMUIYA YA WATANZANIA WANAOISHI SCANDINAVIA YAKUTANA NCHINI DANMARK.


Picha ya pamoja ya wana Jumuiya Watanzania wanaoishi nchi za Scandinavia na Ujumbe kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Sweden.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais wa Zanzibar na Utawala Bora, ndugu Salum Maulid Salum akiwa mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa wana Diaspora Scandinavia uliofanyika April 4, 2015 nchini Danmark.
Mratabu wa Diaspora,Ofisi ya Rais Ikulu na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Ndugu Hassan Hafidh akisikiza kwa makani maoni ya wana Diaspora Scandinavia.
Mwakilishi mkaazi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchi za  Scandinavia, ndugu Hamad Hamad akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa miradi mbali mbali ya Jumuiya Zanzibar.
Mweyekiti wa Zandias akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu mkuu Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Zanzibar.
Mjumbe maalum wa GoZanzibar Germany akipokea zawadi maalum kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Zanziabar.














No comments: